Waliochoma Qur'ani Kuwait watakiwa kufikishwa mahakamani

IQNA

Mwanaharakati wa kisiasa wa Kuwait Hamoud Mubarak al Azmi ametoa wito wa kufikishwa mahakamani watu waliotenda jinai ya kuchoma moto nakala ya kitabu kitukufu cha Qur'ani katika msikiti wa eneo la Salimiyya nchini humo.
Habari ID: 1760    Tarehe ya kuchapishwa : 2013/10/27